NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO
KUMBU. NA. CDC/O5/20/74
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya chato kupitia Shirika la AGPAHI anatangaza nafasi za kazi za mkataba kama zilivyoorodheshwa hapo chini
WATAALAMU WA MAABARA NAFASI 4
MAJUKUMU YA KAZI
i/ kupima sampuli ilikutambua magonjwa
ii/ kutengeneza dawa za kufanyia vipimo maabara
iii/ kuhifadhi sampuli mbalimbali zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au maabara ngazi ya juu
iv/ kuweka kumbu kumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi
v/ kufundisha watumishi walio chini yako
vi/ kutunza vifaa vya maabara
SIFA ZA MWOMBAJI
- muajiriwa wa elimu ya kidato cha 4 au 6 aliyehitimu mafunzo ya astashahada/stashahada cheti katika fani ya maabara kutoka chuo cha serikali au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
MSHAHARA
- Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya TGHS B ngazi ya diploma TGHS ngazi ya cheti
FUNDI SANIFU MADAWA - NAFASI MOJA
MAJUKUMU YA KAZI
- Kugawa dawa kulingana na maagizo ya daktari
- kuhifadhi salio la dawa muhimu
- kuhifadhi, kugawa na kutunza kumbukumbu za dawa matumizi ya dawa na vifaa tiba
- kuelekeza matumizi sahihi ya dawa
- kuchanganya na kutahayarisha dawa kwaajli ya wagonjwa
- kusimamia na kutoa maelekezo kwa watumishi waliochini yako
- kufanya kazi nyingine utakazo pangiwa na mwajiri wako
SIFA ZA MWOMBAJI
- muajiriwa mwenye elimu ya Kidato cha 6/4 aliyehitimu mafunzo ya stashahada katika fani ya Famasia (PHARMACEUTICAL TECHNOLOGIST). kutoka chuo cha Serikali au kinachotambulika na Serikali
NGAZI YA MSHARA
- kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya TGHS B kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
- waombaji wote wawe raia wa tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
- waombaji wote waambatanishe vyeti vya kuzaliwa
- nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatia hili ni kusababisha maombi ya kazi kuwa batili
- wwaombaji waambatanishe vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vyao vya kidato cha 4 na 6 kwa wale waliofikia kiwango hicho na cheti cha kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. viambatanisho hivyo vibanwe n sawasawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea picha moja ya passport size ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma
- testimonials provisional results statement of results hati za matokeo za kidato cha 4 na 6 hazitakubaliwa
- waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhishwa na mamlaka husika (TCU NA NECTA)
- WAOMBAJI WA KAZI AMBA TAYARI NI WAAJIRIWA KATIKA NAFASI ZA KUINGILIA WALIOKO KATIKA UTUMISHI WA uMMA WASIOMNE NAFASI NA WANATAKIWA KUZINGATIA MAELEKEZO YALIYO KATIKA WARAKA nA. cac. 45/257/01/d/140 WA TAREHE 30 nOVEMBER 2010
- Uwasilishwaji wa taarifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria
- mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 26 February 2018
- maombi yanaweza kuabdikwa kwa kiswahiliau kingereza na yatumwe kupitia posta au yaletwe moja kwa moja ofisi yA Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya
kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA,
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO,
S.L.P 116,
CHATO - GEITA
Tags:
AJIRA

