Nafasi za Kazi Wauguzi na Maafisa Tabibu - Wilaya ya Buchosa Sengerema, Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 5 March 2018


TANGAZO LA KAZI WILAYA YA BUCHOSA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa anawatangazia wananchi wote nafasi za kazi kama ifuatavyo

i/ WAUGUZI NAFASI 4
ii/ MAAFISA TATIBU NAFASI 2

SIFA ZA MWOMBAJI 
- awe Raia wa Tanzania
- awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
- awe na elimu ya kidato cha 4 na kuendelea

KWA WAUGUZI
- awe na stashahada au shahada ya Uuguzi

KWA MATATBIBU
- awe na stashahada ya Utabibu (Diplom in Clinical Medicine)
- Malipo ya mshahara yatafanyika kulingana na viwango ya mishahara ya Serikali
- Waombaji wote waambatanishe vyeti vya elimu ya sekondari , vyeti vya taaluma na vya kuzaliwa pamoja na maelezo binafsi yenye wadhamini wawili na picha 2 za passport na namba za simu
- maombi yatumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALAMSHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA,
S.L.P 44
BUCHOSA - SENGEREMA

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 05/03/2018, Maombi yatumwe kwa Mkono au kwa njia ya posta


Previous Post Next Post