Temeke, Mbagala Dar Es Salaam
Description
Pink salon ni salon yakisasa inayotoa huduma ya urembo kwa muda wa miaka mitano sasa,inamatawi kinondoni kurasini nasasa tumefungua temeke,tunahitaji kijana mwenye uwezo wa kusuka aina zote,kuosha na kuseti nywele wasiliana nasi
Piga simu
Tags:
AJIRA

