HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
KUMBU NA. KSDC/S.2/31 VOL II/238
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu anayo furaha kuwatangazia watanzania wenye sifa , nafasi za kazi Afisa Ustawi wa Jamii II kazi hii ni ya mkataba wa miaka miwili watakao fanikiwa kupata kazi hii watapangiwa kufanya kazi kwenye Halmashauri na wengine watapangiwa kwenye kazi ya wwakimbizi ya Ntarugusu iliyoko katika Halmshauri ya Wilaya ya Kasulu
KAZI: AFISA USTAWI WA JAMII II
NAFASI: 5
NGAZI YA MSHAHARA: TGS D
NGAZI YA MSHAHARA: TGS D
KAZI NA MAJUKUMU
- Kuendesha usaili kwa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenyemamatizo pamoja na vijana wenye matatizo mbalimbali)
- kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili
- kuandaa tarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa
- kupokea na kukusanya taarifa za ustawi wa jamii kutoka kwa wadau na vituo mbali mbali vya ustawi wa jamii
- kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za waeu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya uandikishaji wa vituo vya kulelea watoto wadogo wachanga, malezi ambao (foster care) na vyuo vya walezi na watoto wadogo mchana
- kupokea na kuachmbua, kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Raisi kutoka kwa wamama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yaima au wanaohitaji misaada mbalimbali
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia za watu wenye dhiki
- kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa
- kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vya watu wenye ulemavu, mahabusi za watoto na shule ya maadiliano
- kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

SIFA ZA KUAJIRIWA
- Awe Mtanzania
- awe na umri wa miaka 21 mpaka 45
- awe na elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea
- awe na shahada ya Ustawi wa Jamii au stashahada ya juu ya ustawi wa jamii kutoka chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
Ajira hii ni makataba wa miaka miwili na malipo ya mshara wao , posho za kujikiu na maslahi mengine yatafanyika kwa kuafuata viwango vya serikali

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Kwa yeyote mwenye sifa za kazi hii anatakiwa kutuma maombi yake kwa anuani ho hapa chini akiambatanisha vyeti vya taaluma na ujuzi pamoja na cheti cha kuzliwa pamoja na melezo binafsi

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ,
S.l.p 43,
Kasulu
Halmashauri ya Wilaya ,
S.l.p 43,
Kasulu
Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 05/03/2018 saa 9;30 Alasiri waombaji waliofanyiwa uchambuzi watajulishwa kwa simu pamoja na barua pepe watakazokuwa wameziandika kwenye CV zao kwaajili ya kuja kufanyiwa usaili nafasi hizi hazibagui jinsia na hali ya mtu
Tags:
AJIRA